thalostchild
Member
- Apr 16, 2015
- 79
- 23
Isifanye hiyo kitu ndgu yang kama unampenda mkeo...kufany hivo jua unamrudisha mkeo kwao ila we utaondokaa tu hapohabari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga makazi yetu sasa jamani naomba mnipe uzoefu wa kukaa na mama mkwe baba mkwe mashemeji na mawifi ndani ya nyumba mm nikiwa nina watoto wawili wadogo 3 years na 1 year mm ni mfanyakazi naenda kazini asubuhi jumatatu hadi ijumamosi siku yangu ni moja tu jumapili kiukweli mm sipo comfortable kuenda kulundikana kwenye nyumba moja yaani nipo nafuraha nikiwa naishi kwangu. si kama siwapendi ndugu wa mume lakini sipo comfortable. hebu nipeni mawazo yenu juu ya hii ishu.
naomba mwenye lugha ya kejeli afunge mdomo wake
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app