Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

Magrupu yetu na nani kichwapanzi!Kwanini unilazimishe nimshauri mawazo yako! muache akapambane na hali yake..haina haja yakwenda kwa wakwe..imeandikwa. MWANAMUME ATAMWACHA BABA NA MAMA YAKE..NA ATAAMBATANA NA MKEWE.

Kwa kinyume hapo unajua mwenywe
Ulichomaanisha

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
USIENDE UTAPATA UGONJWA WA MOYO PLZ..MY MUM TULIVYOKUA WADOGO ALIWAHI KUISHI NA WAKWE ZAKE ALINISIMULIA KILICHOMKUTA MWEEH NI HUZUNI! WALIMBAGUA MNO...JAPOKUA ALIKUA ANA WATII MNO..NENDA KATAFUTE HATA ROOM MBILI MUISHI KIROHO SAFII
 
Shemeji wa kike gonga
Mam mkwe gonga
Utaishi nyumba moja nao

Au
Mi ndo
Sijaelewa

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
mkuu kwa vile wote mnakipato mnaweza kukaa na kupanga mipango ya maisha bila kuwa na mashaka kama hayo uliyonayo sasa. mnaweza kuangalia nyumba yenye kuendana na kipato chenu au kama ongezeko sio kubwa bora kulipa na maisha yanaendelea kwa nini kwenda kuishi sehemu mwenye unamashaka ambayo yanaweza kutokea unavyofikiri au pia inaweza isitokee kuepusha sintofahamu hiyo basi jipangeni wenyewe.
 

asante sana mkuu kwa kweli ninayoyafikiria ndio ninayoayaona ktk jamii nyingi ss ni waswahili hizi vitu vipo isijekufikia mnatengana kwa sababu ya ndugu wanaotuzunguka maana utavumilia mwishowe unaona na mm nawalipukia mnaanza kutushiana maneno
 
KWA KWELI YAANI NITAKONDA NIWE KAMA MOJA
Sasa bi dada kama na wewe unafanya kazi shida nini? Kwanini msitafute nyumbani inayoendana na kipato chako mambo mengine kujitakiwa ni afadhali ukaishi kwako ukala dagaa kuliko kujipanga ukweni na watoti mmeo kanda ya ngosha nini!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Mpeleke Kwenu Kama Kwao Hupawezi
 
Nyie Madada Hela Zenu Huwaga Za Kwenu Tu Ila Ya Mwanaume Yenu Wote Sasa Mwanaume Kayumba Mnaponda Kwenda Ukweni
 
Mwambie bwana wako Aache Woga, Pangeni Nyumba Ya Gharama Nafuu.Ukitaka kuona Ndoa Chungu Kaishi Ukweni mawifi Lazima Wakuamshie Dude Na Hivyo Una Kazi Hahahahaaa Sawa Na Kulazimisha Kusoma Masomo Ya Sayansi Wakati We Ni Mbumbumbu Lazima Ufeli Yaani Zero, USHAURI WANGU PANGENI KWENU Sasa We Jishaue Uende Ukweni Ndo Utajua Kwa Nini Shuka Ya Kujifunika Haina Mifuko Kama Kwenye Suruali
 
Kweli huwezi kuwa comfortable 100% hata uwe mchapakazi vipii,.kama ndio uamuzi mlioafikiana na mwenzako nenda tuu hamna tatizo ila ukubali kuwa mtumwa wa nafasi.
 
Mlipokosea ni hapo ni heri mngehamia kwanza nyie hapo kisha mkamwambia mama aje hapo awakute yeye kisha ndiyo muwe mnatafuta kujenga sehemu nyingine sasa my dear panga hata chumba na ukumbi na wanao na mdada wako lakini ukweni mie mmmmmm nilishazoea kujiamlia panga kwako siku hizi bei za nyumba zimeshuka

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
UNGESOMA VIZURI UNGEELEWA..KWAVILE UNA WENGE HUTAKAA UNIELEWE! PITA HIVI......
Halaf hakuna anaeweza kuelewa
Ujinga kama huu ulioteyp hapo

Single mother mnasumbua sana
Makosa hayakuag yenu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
MBONA WAARABU,WAZUNGU,WACHINA NA WAPEMBA WANAISHI NA WAKWE ZAO AU WEWE MVIVU MVIVU UNANAVYO ONEKANA NDIO MAANA UNAJICONFESS KWA KUHOFIA KUWA UTASHINDWA KUISHI UKWENI
Wewe unazani wanapenda ni tamaduni zao embu fatilia channel 10 leo saa3 uone mama mkwe anavyomfatilia mke wa mwanaye hataki hata watekenyane chmbani kwao muda wote anagonga mlangoni

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kama unaweza kuweka pamba masikioni.....

Kuvaa miwani ya mbao....

Kutoweka mambo rohoni nenda

Ila inategeme na aina ya wake ulionao
 
Mwambie mumeo aache pride ya kiafrika.....
 
Inabidi uwe unatoka na taulo tumbowazi asubuhi na jioni ukirudi. Halafu mwambie wife azidishe kelele wakati wa tendo la ndoa. Hapo mambo safi mkuu

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
Halaf hakuna anaeweza kuelewa
Ujinga kama huu ulioteyp hapo
UNA MIDADI HADI UNAPEPESUKA KWENYE KUANDIKA
Single mother mnasumbua sana
Makosa hayakuag yenu

Triple A
oh mama ako ni single mother! ebu nitolee laana mimi siyo single mother labda hao dada zako! jifunze kutokushobokea usiowajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…