Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mie mwenyewe kwenda kuwasalimia tu basi inatosha hapa kwenyewe nishamaliza kazi zangu nimepumzika nipo nyuma ya keyboard sasa ukweli duu itakuwa ngumu kwenye shida sawa, mie mr alienda kusoma ng'ambu si wakaseme nikaishi kwao, mwenyewe eti haa atabaki hapa hapa haina shida, komaa tu mamaSijawahi kufikiria kuishi na wakwe kabisa katika paa moja. mwenzi wa kwanza uishe wa pili 3,4,5 hadi mwaka hapana kabisa.......... Haiwezekani kabisa
Dada uzuri una kazi hakuna linaloshindikana tafuta nyumba ya bei rahisi zaidi ya hiyo jibane acha kwenda kwa wakwe kabisa hata kama nyumba mmemjengea ninyi. Fanya juu chini lakini sio kwenda kuishi kwa wakwe kabisa...
Na pia jamani hata kama uko kwenye ujenzi sio ujibane mpk tone la mwisho
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app