Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kasema wamejenga wakamuweka ma mkwe akaeAfu anafanya kazi. Wangeamua kujenga wangejenga.sema pesa yake ni yake ila ya mume ni ya kwao wote
Kurudi kwenu na mkeo na watoto sio uanaume huoNa hapo ndo itakuwa hatima ya ndoa. Kama dada yangu anathamini ndoa nadhani aende hata mwaka harafu ndo wajipange kuondoka. Saizi ni mapema kuanza kuogopa, aende akaona upande mwingine ukoje. Pia mmewe nadhani kamheshimu sana!!
Pole sana. Kama nakuona hali unayokwenda kupambana nayo.kabisa yaani kwa kweli hii ni changamoto kubwa ktk ndoa yangu
Sana tu ni kama mshikaji kachoka ujue...anyway tusiwasemee sana!! But binafsi nikishaanzisha familia hiyo ndo nitoleee kurudi home ni kusalimia, nikila njaa poa tu but lazima mwanaume u-hustle intelligentlyKurudi kwenu na mkeo na watoto sio uanaume huo
Watu mnapenda kujugde jamaniYou're very right madame! Kudos!
She stayed with her hubby for four years without any contribution of her salary in support to her hubby; she is selfish and she use her salary on her own private matters!
Today she complain about going to live with her in laws as alternative proposed by hubby to reduce living expenses; is she a mad??
Go and swallow it dude! Why women are selfish even in supporting your children and hubby in your family??
Sa mbona mnaona sawa jamaa arudi home teh arudishe mpira kwa kipaSana tu ni kama mshikaji kachoka ujue...anyway tusiwasemee sana!! But binafsi nikishaanzisha familia hiyo ndo nitoleee kurudi home ni kusalimia, nikila njaa poa tu but lazima mwanaume u-hustle intelligently
Kwa maelezo ya dada hapo, mshikaji naona kachoka, kuna kitabia fulani kinajionyesha so anaona kama dada hamthamini which I see inamuaffect kwa kiasi fulani.Sa mbona mnaona sawa jamaa arudi home teh arudishe mpira kwa kipa
Teh arudi kwao mwenyeweKwa maelezo ya dada hapo, mshikaji naona kachoka, kuna kitabia fulani kinajionyesha so anaona kama dada hamthamini which I see inamuaffect kwa kiasi fulani.
Polehabari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga makazi yetu sasa jamani naomba mnipe uzoefu wa kukaa na mama mkwe baba mkwe mashemeji na mawifi ndani ya nyumba mm nikiwa nina watoto wawili wadogo 3 years na 1 year mm ni mfanyakazi naenda kazini asubuhi jumatatu hadi ijumamosi siku yangu ni moja tu jumapili kiukweli mm sipo comfortable kuenda kulundikana kwenye nyumba moja yaani nipo nafuraha nikiwa naishi kwangu. si kama siwapendi ndugu wa mume lakini sipo comfortable. hebu nipeni mawazo yenu juu ya hii ishu.
naomba mwenye lugha ya kejeli afunge mdomo wake