Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

Na hapo ndo itakuwa hatima ya ndoa. Kama dada yangu anathamini ndoa nadhani aende hata mwaka harafu ndo wajipange kuondoka. Saizi ni mapema kuanza kuogopa, aende akaona upande mwingine ukoje. Pia mmewe nadhani kamheshimu sana!!
Kurudi kwenu na mkeo na watoto sio uanaume huo
 
Kurudi kwenu na mkeo na watoto sio uanaume huo
Sana tu ni kama mshikaji kachoka ujue...anyway tusiwasemee sana!! But binafsi nikishaanzisha familia hiyo ndo nitoleee kurudi home ni kusalimia, nikila njaa poa tu but lazima mwanaume u-hustle intelligently
 
You're very right madame! Kudos!

She stayed with her hubby for four years without any contribution of her salary in support to her hubby; she is selfish and she use her salary on her own private matters!

Today she complain about going to live with her in laws as alternative proposed by hubby to reduce living expenses; is she a mad??

Go and swallow it dude! Why women are selfish even in supporting your children and hubby in your family??
Watu mnapenda kujugde jamani
Wamejenga ndio nyumba anaishi ma mkwe, ana nyumba yake aliijenga mme hataki kuhamia support ipi hajatoa
 
Sana tu ni kama mshikaji kachoka ujue...anyway tusiwasemee sana!! But binafsi nikishaanzisha familia hiyo ndo nitoleee kurudi home ni kusalimia, nikila njaa poa tu but lazima mwanaume u-hustle intelligently
Sa mbona mnaona sawa jamaa arudi home teh arudishe mpira kwa kipa
 
Sa mbona mnaona sawa jamaa arudi home teh arudishe mpira kwa kipa
Kwa maelezo ya dada hapo, mshikaji naona kachoka, kuna kitabia fulani kinajionyesha so anaona kama dada hamthamini which I see inamuaffect kwa kiasi fulani.
 
Shauri mmeo muendelee kupanga.
Bure aghali mama.
Hiyo kodi anayodhania mtaisev ni fikra za picha, lakini kiuhalisia matumizi yataongezeka maradufu, kutokana na mrundikano wa watu mtakaowakuta.
Halafu nikuulize wewe mama, ni hesabu gani mliyoipiga na mmeo hadi kufikia kushikwa na uoga wa kupanga na kuona afueni kwenda kujisalimisha kwao? Ni utoto gani uliomshika hadi aanze kurudi kuwaza kitoto namna hiyo?
Mwambie kama anataka kuusalimisha uanaume wake ambao ni kubeba majukumu ya kukutunza wewe, basi mkaishi naye nyumbani kwenu. Yaani yeye ndiye akaishi ukweni kwake.
Udhaifu wenu wa kupanga mambo utawaletea madhara makubwa sana yatakayopelekea saazingine hata ndoa yenu kusambaratika.
Mwanaume mtu mzima na familia yako utajimixije kwenu?
Unataka mkeo aishi kinyonge!
 
pole kwa changamoto uipatayo..ila kuishi kwa wakwe na mashemeji kazi kwelikweli...Chuki, fitina, na figisufigisu zingine haziishi huko
 
habari zenu wadau mm na baba watoto tulikua tunaishi ktk nyumba ya kupanga kwa muda wa miaka minne sasa ila anataka tukaishi kwao kwa kua kidogo kodi imepanda ili tusave tuweze kuanza kujenga makazi yetu sasa jamani naomba mnipe uzoefu wa kukaa na mama mkwe baba mkwe mashemeji na mawifi ndani ya nyumba mm nikiwa nina watoto wawili wadogo 3 years na 1 year mm ni mfanyakazi naenda kazini asubuhi jumatatu hadi ijumamosi siku yangu ni moja tu jumapili kiukweli mm sipo comfortable kuenda kulundikana kwenye nyumba moja yaani nipo nafuraha nikiwa naishi kwangu. si kama siwapendi ndugu wa mume lakini sipo comfortable. hebu nipeni mawazo yenu juu ya hii ishu.

naomba mwenye lugha ya kejeli afunge mdomo wake
Pole
 
Back
Top Bottom