Naomba tusaidiane hapa!!

Naomba tusaidiane hapa!!

njookesho

New Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
3
Reaction score
0
kijana wa kitanzania aliye lelewa na mzazi "mvuja jasho" kwenye nyumba ya kupanga, leo hii anaambiwa aweke dhamana isiyo hamishika kama vile nyumba, kiwanja ili apate mkopo, wavaa suti wanamwambia ajiajiri! ya wezekana kweli??
 
Mimi mwenyewe sielewi hili suala
labda wadau wengine walizungumzie
 
Back
Top Bottom