Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Habari za jioni fellow chefs. Naomba tutumie thread hii kujuzana ingredients zinazotutatiza. Kama una picha sio mbaya kuambatanisha katika ufafanuzi. Mfano kuna vyakula ambavyo hujui Kiswahili chake ama Kiingereza chake na ungependa kujaribu kuvipika ila hujui upate wapi na kwa jina gani.
Mie naanza kwa kuomba kujuzwa vyakula vifuatavyo. Je Kiswahili chake ni kipi na vinapatikana wapi?
1. Fenugreek seeds
2. Chickpeas
3. Black Beans
4. Asparagus
5. Wheat Germ
6. Capsicum
7.Salmon
....... nitaongeza na vingine. Karibu na wewe ndugu yangu uulize cha kwako.
TIA!!