Naomba tusaidiane kwa hili

Naomba tusaidiane kwa hili

Mkuu MziziMkavu, ni kweli dengu zinaitwa Chick Peas kwa kiingereza. Lentil ni aina nyingine tu jamii ya Dengu, na ladha ya hizo green lentils inakaribiana na taste ya choroko (Mung beans). Sifahamu lentils kwa kiswahili zinaitwaje.
Chick Peas Tanzania hakuna zipo hizo za aina ya Lentils Aka Dengu, Chick Peas zipo Uarabuni na ulaya Tanzania hakuna angalia hiyo picha ya Chick Peas hapo chini
chickpeas.jpg
 
MziziMkavu,
Nakushukuru sana kwa mambo mbali mbali ambapo kweli kila mtu anakufurahia jinsi unavyojibu maswali ya watu na usahuri wako mimi binafsi umeniletea mambo a mbayo yamenisaidia personally.
Mungu akubariki sana.
SHIDA YANGU NATAKA NIJUE NITAPATAJE CO CONVERT KILOS TO OZ?
Kuna recipe moja nimeona kwenye kitabu cha 250 recipes na kutaja 60 g au 2 oz nimeshindwa kujua nitapataje hii measurement maana sina mzani nyumbani kwangu
Mizani ya jikoni naweza kupata supermarket? Nisaidieni wapendwa unajuwa tena ushamba mwingine si wakuficha ukisema wenzako watakusadia bwana.....
Convert 1 kilos to ounces
Result:
35.274 oz
(rounded to 4 decimal places)
Kilograms to Pounds and Ounces Conversion

Grams to Ounces conversion
Grams: g

Ounces: oz
Pounds+Ounces:
lb
oz
Calculation:
Ounces to Grams ►

[paste:font size="5"]Ounces to Grams ►

Grams to Ounces converter (g to oz) | Weight conversion
 
Mkuu heshima yako.

Black matpe (urad dal) ni sawa na black beans? Na je Tanzania yanapatikana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hiyo Black matpe (Urad dal) ni jamii ya kunde tofauti Black Beans Maharage meusi. Black matpe ni jamii ya kunde na hiyo Black Beans ni Maharage meusi sijuwi kama yanapatikana hapo nchini Tanzania hayo maharage meusi?

Black matpe.jpg


BLACK BEANS.jpg
 
Back
Top Bottom