Ni jamii fulani ya mboga inayopatikana ulaya na nchini Uturuki pia ipo kama picha inavyojieleza hapa chini.na mimi nataka kujua asparagus ni nini MziziMkavu uko wapi?
Mkuu Chocolate Fenugreek seeds sio mbegu za haladari. Fenugreek seeds ni uwatu kwa lugha ya kiswahili.Fenugreek seeds.... mbegu za haladari
1. Fenugreek seeds kwa kiswahili (Uwatu)Habari za jioni fellow chefs. Naomba tutumie thread hii kujuzana ingredients zinazotutatiza. Kama una picha sio mbaya kuambatanisha katika ufafanuzi. Mfano kuna vyakula ambavyo hujui Kiswahili chake ama Kiingereza chake na ungependa kujaribu kuvipika ila hujui upate wapi na kwa jina gani.
Mie naanza kwa kuomba kujuzwa vyakula vifuatavyo. Je Kiswahili chake ni kipi na vinapatikana wapi?
1. Fenugreek seeds
2. Chickpeas
3. Black Beans
4. Asparagus
5. Wheat Germ
6. Capsicum
7.Salmon
....... nitaongeza na vingine. Karibu na wewe ndugu yangu uulize cha kwako.
TIA!!
Mkuu Kaizer Sio kweli kuwa chickpeas ni dengu kwa kiswahili. Dengu kwa kiingereza inaitwa jina hili lentilsMkuu MziziMkavu, Chickpeas ni "dengu" kwa Kiswahili, sio kwamba hakuna jinale kishwahili. Ni hilo tu
CC Karucee
Mkuu MziziMkavu, ni kweli dengu zinaitwa chickpeas kwa kiingereza. Lentil ni aina nyingine tu jamii ya kunde, na ladha ya hizo green lentils inakaribiana na taste ya choroko (Mung beans). Sifahamu lentils kwa kiswahili zinaitwaje.Mkuu Kaizer Sio kweli kuwa chickpeas ni dengu kwa kiswahili. Dengu kwa kiingereza inaitwa jina hili lentils
Dengu au kwa lugha ya kiingereza inaitwa lentils
1. Fenugreek seeds kwa kiswahili (Uwatu)
2. Chickpeas kwa kiswahili hakuna jina lake hilo hilo chickpeas
3. Black Beans kwa kiswahili Maharage meusi
4. Asparagus kwa kiswahili Asparagus
5. Wheat Germ kwa kiswahili Ngano kijidudu.
6. Capsicum kwa kiswahili Pilipili mboga
Chickpeas
Black Beans Maharage meusi.
Asparagus
White germ ngano Kijidudu
Capsicum Pilipili mboga.
Fenugreek Seeds kwa kiswahili Uwatu Mkuu.@Karucee
Mkuu MziziMkavu, ni kweli dengu zinaitwa chickpeas kwa kiingereza. Lentil ni aina nyingine tu jamii ya kunde, na ladha ya hizo green lentils inakaribiana na taste ya choroko (Mung beans). Sifahamu lentils kwa kiswahili zinaitwaje.
Ni jamii fulani ya mboga inayopatikana ulaya na nchini Uturuki pia ipo kama picha inavyojieleza hapa chini.
Asparagus