Naomba tuulizane ukweli kuhusu usalama wa taifa wetu tukajisifu kwa intelejensia zake

Naomba tuulizane ukweli kuhusu usalama wa taifa wetu tukajisifu kwa intelejensia zake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kwangu mimi mpaka sasa kama naona hii idara hakuna kitu kabisa.

Mfano swala la mikabata ya ovyo,rasilimali,hatma ya nchi na mwelekeo wake mfano tu mzuri watu walishauri kuhusu haya ya uchaguzi mpaka kutokea October 29 walikuwa wapi.

Napata mashaka na hii idara ilishajifia siku nyingi
 
Wangekuwa ni watu wenye akili timamu yale ya 29 October ilibidi wayaone mapema sana, wao wakaona samia na jk ni watu wa maana sana kuliko nchi!
 
Back
Top Bottom