Kwangu mimi mpaka sasa kama naona hii idara hakuna kitu kabisa.
Mfano swala la mikabata ya ovyo,rasilimali,hatma ya nchi na mwelekeo wake mfano tu mzuri watu walishauri kuhusu haya ya uchaguzi mpaka kutokea October 29 walikuwa wapi.
Napata mashaka na hii idara ilishajifia siku nyingi