Naomba uchumba na bebii wa hapa jf.....

Naomba uchumba na bebii wa hapa jf.....

Mkuu, cafe zimefungwa mida hii, atajibu kesho asubuhi. Mia

Yes!! Kumbe hata computer hana!!! Jamani bebii nitakunulia au niko radhi kukuachia hii toshiba yangu na moderm yangu ya Airtel yenye speed kali....
 
Mkuu wewe jidanganye wakati jana kani-PM mida kama ya saa mbili usiku hivi..............
nani?naomba tuheshimiane kama nipo jf kwa raha zangu sipendi kero wala malumbano.so naomba uendelee na kilichokuleta hapa achana na mimi kabisa kabisa.una maisha yako sikusumbui na wewe naomba usinisumbue hapa jf okeee
 
Si nilikitabiri hiki kibuti, waswahili mkabisha? heheeh kulaleki!
 
nani?naomba tuheshimiane kama nipo jf kwa raha zangu sipendi kero wala malumbano.so naomba uendelee na kilichokuleta hapa achana na mimi kabisa kabisa.una maisha yako sikusumbui na wewe naomba usinisumbue hapa jf okeee

Mpe huyo!!!!
Asione vyaelea!!!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ah ah!!! Haya bebii mimi nilitaka uongee tu,naona mission immpossible......ngoja nirudi zangu kwenye siasa tu,maana hili jukwaa lina uchuro.....
 
Mpe huyo!!!!
Asione vyaelea!!!

Mkuu usishangilie kifo cha adui yako maana uwezi jua na wewe kitakukuta kama changu...ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
 
Wasioju Wajue Kuwa Bebii anaye wake na mipango inaendele hivyo amesha wahiwa.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ah ah!!! Haya bebii mimi nilitaka uongee tu,naona mission immpossible......ngoja nirudi zangu kwenye siasa tu,maana hili jukwaa lina uchuro.....
Hilo tuliliona mapema sana ila tulisubiri kibuti kitakachokurudisha kwenye siasa........eti hili jukwaa lina uchuro...dah umenichekesha sana!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom