sudybrainy
Member
- Oct 8, 2018
- 7
- 7
Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February mwaka 2022, ila ninadaiwa na chuo ada pia nimeishiwa pesa za kujikimu hivyo ninaomba udhamini ili nimalize masomo yangu.
Nitaingia makubaliano (mkataba )na taasisi au mtu mwenye dispensary au polyclinic kufanya kazi katika taaisi yake kwa mshahara mdogo sana hata elfu hamsini, chakula na malazi kwa muda wa mwaka mmoja au zaidi kulingana na makubaliano tutakayoingia. Napatikana kwa namba za simu 0763409185 na whats app pia kwa namba hizo hizo, Ahsanteni.