Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number verification failed waloniandkia mwanzo je haitawaletea shida wao kunisoma huko ingawa nimejaziwa100