Umetumia copy zilizopigwa muhuri au original certificateClinical officer mkuu nmemalza 2017
Kuhusu mikoa kutokufnguka, inatia hasira ila nikujarb marakwamara itakubal, mikoa inatogoma mara nyng watu wengi wanakua wameiomba so kua mvumilivuPia naomba msaada kuna bwana mdogo namfanyia application ila nimepata changamoto kwenye kuchagua mikoa
ukibofya mikoa haiji
naomba msaada tafadhali
Yaani haifunguki kabisaKuhusu mikoa kutokufnguka, inatia hasira ila nikujarb marakwamara itakubal, mikoa inatogoma mara nyng watu wengi wanakua wameiomba so kua mvumilivu
Option IPO, wizara huku Tamisemi hakuna.Hivi nyi wa afya Kuna option ya kuweka CV
Kuna watu wamaambatanisha Barua na CV ,ila sijui Kama Ni sahihi sanaKifupi Tamisemi hawagitaj mbwembwe wanachotaka ni Una vyeti na licence, vngne hawataangalia, ni watu wa short and clear
Mkuu kwenye kuchagua vituo vp umefanikiwa kujaza vituo zaid ya kimoja na vikaonekana baada ya kusev?Nilipata changamoto ya kukataliwa Registration namba yangu tangu juzi lakini nimejaribu leo ikanletea neno kua Registration number verification failed nilipo bonyeza option ya ok nikarugusiwa kuapload transcript pamoja na cheti na wakanijazia 100. Wasiwasi wangu ni neno Registration number verification failed waloniandkia mwanzo je haitawaletea shida wao kunisoma huko ingawa nimejaziwa100