Naomba ufafanuzi juu ya P2

Naomba ufafanuzi juu ya P2

Kabisa mkuu condom ni salama zaidi. Kama mwanamke unaweza kukutana na wanaume wawili tofauti huo ni umalaya, tena unafanya nao kavu, huku ni kubebeshana magonjwa.

P2 ni very effective lakini ukienda nayo vizuri ktk ile kalenda nayo, pili ukiitumia tu, pumzika ata wiki mbili au wik na nusu ndo uje ufanye ngono isiyo salama tena. Mbali na hapo tumia condom tu.
Kumbe
 
Back
Top Bottom