lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 19
- 35
NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya Kila baada ya km 5000 ilikuja na km 150000 kutoka Japan.
kama IST zenye model hizo ni kawaida ulaji huo sawa tatizo sio Hela ya mafuta imenishinda ila tatizo ulaji huo ni kawaida au Kuna tatizo?