Naomba ufafanuzi juu ya ulaji wa mafuta wa hii Toyota IST

NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya Kila baada ya km 5000 ilikuja na km 150000 kutoka Japan.

kama IST zenye model hizo ni kawaida ulaji huo sawa tatizo sio Hela ya mafuta imenishinda ila tatizo ulaji huo ni kawaida au Kuna tatizo?

View attachment 2165803
Mimi nina Vitz manual ya 2000 yenye Cc 1290 ambayo hivi sasa ina kilomita 170,000+ lakini bado inakwenda kama 18km/1lt nikiwa Highway na speed ya 140km/h. City trips (go and stop) inakwenda 16km/1lt.
 
Da kama rav 4 ya CC 2400.
Kama mazingira ya kwako ni utelezi utelezi usiiache bali nenda kafanye dioginistic .
 
Tupe mrejesho mkuuu
NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya Kila baada ya km 5000 ilikuja na km 150000 kutoka Japan.

kama IST zenye model hizo ni kawaida ulaji huo sawa tatizo sio Hela ya mafuta imenishinda ila tatizo ulaji huo ni kawaida au Kuna tatizo?

View attachment 2165803
H
 
Naomba kuelimishwa namna ya kusoma fuel gauge. Mfano hiyo ya IST, mafuta yakibaki lita 5 unajuaje kuwa yamebaki kwa hizo lita?.
 
Back
Top Bottom