lilraq12345
Member
- May 25, 2017
- 19
- 35
Mimi natumia Catroil Full Synthetic 5W30, filter nanunua Genuine na uwa nafanya servixe kila inapokaribia km 5,000Oil ni Castro Ila sijui namba ngapi najua Jina Ila majaribio nishafanya zaidi ya mara moja ulaji the same mpaka nimewaza kuiuza
Nafkiri pia Kuna gari zinakuja nyingi na km hizi hizi wengi zinardishwa km ila pia zipo zinazokuja na km nyingi still ulaji wa mafuta ni WA chini au kwasababu ya hii AWD kuzungusha matairi yote manne1490 cc full AC Lita 1 km 11 hadi 13 kwenye barabara za mijini. Safari ndefu 15km hadi 16km.
Alafu hizo 5,000km unatumia oil gani?
Alafu kwanini unanunua gari iliyotembea km nyingi?
Kama Kuna mtu pia ana ist yenye hii AWD anipe mrejesho yake ipoje kwenye unywaji wa mafuta
Km nyingi sana anategemea gari lirudi kwenye ujana wake!177131km.....hii ipo sawa kabisa kwa ulaji huo, kama ulinunua bongo mkononi utakuta ilkuwa 250k km..
ushauri: Achana na kuwaza service kubwa kubwa utapoteza pesa bure, tafuta mnyasa muuzie kwa 7m au 8m alafu ongezea hapo uvute nyingine
Mrema kapigwa..completely finishedKm nyingi sana anategenea gari lirudi kwenye ujana wake!
Ni kama Mrema na mkewe unategemea nini alafu mkewe anatuambia eti atamfanya Mrema awe kijana!
Kwenye makundi ya Magari madogo IST is still the best kwenye consuption. 1 litre ni kati ya 10-12Km. Chini ya hapo basi kuna tatizo.NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya Kila baada ya km 5000 ilikuja na km 150000 kutoka Japan.
kama IST zenye model hizo ni kawaida ulaji huo sawa tatizo sio Hela ya mafuta imenishinda ila tatizo ulaji huo ni kawaida au Kuna tatizo?
View attachment 2165803
Uza hio gari mkuu tena kama ni namba mpya watu huwa hawajali😂 haitamaliza siku 3 kuna mtu atajichopeka mpe akahangaike nalo. Tofauti ya msingi ni kuwa hio gari yako ni all-wheel drive ila sidhani pia kama ndio kigezo cha ulaji mmbovu namna hioOil ni Castro Ila sijui namba ngapi najua Jina Ila majaribio nishafanya zaidi ya mara moja ulaji the same mpaka nimewaza kuiuza
vp kuhusu Premio maana watu wanalisifia na mm Mungu akijalia nataka nivute mwaka huuKwenye makundi ya Magari madogo IST is still the best kwenye consuption. 1 litre ni kati ya 10-12Km. Chini ya hapo basi kuna tatizo.
1L = Km 11.9, hizi zote ni Town trips na ni ya 2002 AWD . Odometer 114,000+Kama Kuna mtu pia ana ist yenye hii AWD anipe mrejesho yake ipoje kwenye unywaji wa mafuta
NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji huo au Kuna tatizo dashboard inajionuesha Kila kitu gari Haina tatizo lolote lingine services nafanya Kila baada ya km 5000 ilikuja na km 150000 kutoka Japan.
kama IST zenye model hizo ni kawaida ulaji huo sawa tatizo sio Hela ya mafuta imenishinda ila tatizo ulaji huo ni kawaida au Kuna tatizo?
View attachment 2165803