Hapo ndo nilikua napataka, mimi ndo namaliza mwaka huu certificate yakilimo. Nimeona hii secta kwasasa haina soko, sasa niambie nijitahid nipate ufaulu gani ili niweze kujiunga na vyuo vya maji diploma. Kunakoz naipenda, WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINERING. je uwezekano wa kujichanganya huko upo???