Naomba ufafanuzi kama nitaweza kusoma Diploma ya Maji katika hili

Naomba ufafanuzi kama nitaweza kusoma Diploma ya Maji katika hili

Weka kwanza ufaulu wako wa IV hapa na Certificate ya kilimo..?
 
Hapo ndo nilikua napataka, mimi ndo namaliza mwaka huu certificate yakilimo. Nimeona hii secta kwasasa haina soko, sasa niambie nijitahid nipate ufaulu gani ili niweze kujiunga na vyuo vya maji diploma. Kunakoz naipenda, WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINERING. je uwezekano wa kujichanganya huko upo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom