Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,311 Reaction score 1,018 Oct 4, 2024 #1 Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa? Na huzikwaje?
Naomba ufafanuzi hukumu huwa ni kunyongwa hadi kufa au kunyongwa tu. Je, mtu akihukumiwa kunyongwa kuna uwezekano wa kupona tofauti na aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa? Na huzikwaje?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 4, 2024 #2 Hakuna kunyongwa, ni kunyongwa hadi kufa.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Oct 4, 2024 #3 tafuta hela achana na mambo ya mikosimikosi hayo