Naomba ufafanuzi kuhusu biashara ya Aluminium, Glass na Steel

ERoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
48,052
Reaction score
104,677
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti.

Pamoja na hilo kuwe na retail shop ya vifaa vya aina hizo. Yaani kuwe na workshop na materials ziwe zinapatikana hapo kwa wateja wadogo wadogo.

Je, mtaji kiasi gani unahitaji ili kufungua workshop? Kuhusu retail shop hilo sio issue coz linaweza kuanza taratibu.

Vifaa gani vinatakiwa kwa ajili ya aluminium pamoja na steel work?

Materials Kwa bei za jumla, ambazo ni nzuri zinapatikana wapi kwa jiji la Dar?

Wajuvi naomba mawazo yenu hapa.
 
Ngoja wataalam was hii mambo
 
Back
Top Bottom