MiniActivist
Member
- Dec 9, 2011
- 66
- 44
Biashara ya hisa inakuaje?
CWT wanauza hisa na ninahitaji kununua ila sina elim ya biashara hii.
CWT wanauza hisa na ninahitaji kununua ila sina elim ya biashara hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya hisa inakuaje?
CWT wanauza hisa na ninahitaji kununua ila sina elim ya biashara hii.
Ni mwalimu commercial bank au MCB!! hii mimi mwenyewe bado naifanyia research niijue zaidi!!! ila Allen Snr labbda kama ataweza kutuelewesha kidogo!!! embu pitia na hapa mkuu!!!...Biashara ya hisa inakuaje?
CWT wanauza hisa na ninahitaji kununua ila sina elim ya biashara hii.
Ahsante sana mkuu umenipa somo ambalo mtu wa BED nisiyejua hata definition ya book keeping au commerce hakuna namna ningeipata.
Swali; Je unanishauri nini nataka kuwekeza katika kampuni changa?
Ni mwalimu commercial bank au MCB!! hii mimi mwenyewe bado naifanyia research niijue zaidi!!! ila Allen Snr labbda kama ataweza kutuelewesha kidogo!!! embu pitia na hapa mkuu!!!...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nufaika-na-soko-la-hisa-la-dar-es-salaam.html
Sasa Kama mtu wangu anamiliki hisa na Sasa anataka kurithisha hizo hisa inawezekana nikachukua hisa zote zilizopo ili nijiondoe kabisa? Tafadhali nijulishe
Sasa Kama mtu wangu anamiliki hisa na Sasa anataka kurithisha hizo hisa inawezekana nikachukua hisa zote zilizopo ili nijiondoe kabisa? Tafadhali nijulishe
Ahsante sana mkuu umenipa somo ambalo mtu wa BED nisiyejua hata definition ya book keeping au commerce hakuna namna ningeipata.
Swali; Je unanishauri nini nataka kuwekeza katika kampuni changa?
Ni vizuri kuwekeza katika kampuni mpya kwanza bei ya hisa inakua ipo chini lakini pia Ni risk kwa sababu inatakiwa ufanye utafiti sana ile kampuni jamii imeipokeaje, inavivutio gani katika uwekezaji Nampenda kutolea mfano TBL ukiona Castlelight& Lager watu wanazipenda sana kila ukienda kwenye bar na sherehe mbalimbali unazikuta hapo kimoyomoyo unawaza kuwa kampuni hii inafanya vizuri na uwezekano wa ku generate profit ni mkubwa hivyo utawekeza vilevile Kwenye kampuni Kama ACCASIA hii inamiliki migodi ya Dhahabu ya Buzwagi, Bulyankulu na Lyamungo kama unavyojua Dhahabu zinahitajika sana duniani na bei yake huwa haishuki hivyo Uwezekano wa kupata faida ni mkubwa..... Kwa kifupi kama unamtaji mkubwa nakushauri nenda kwenye kampuni Kubwa moja kwa moja. ili uweze kurudusha Faida mapema!
MKUU IKUMBUKWE KUWA HISA NI MALI (PROPERTY) HIVYO UNAWEZA KUIUZA ,KUMPA MTU KAMA ZAWADI N.K KAMA UNATAKA KUTOKA KWENYE HIYO KAMPUNI UNAUZA HISA ZAKO ZOTE NA KAMA UMEZEEKA UNAWEZA KURITHISHA WATOTO WAKO AU WAJUKUU NAKUMBUKA SECTION (78) of Companies Act (2002) inaelezea hayo mambo ya Transfer of shares pia Kampuni zimepewa nguvu kuna nyingine zinaweza kukataza mambo ya kurithishana hivyo inakubidi uziuze tuu!
Asante nimekuelewa,