Wakuu kuna habari naomba ufafanuzi,huwa natumia castor oil kwenye gari yangu ndogo Toyota Isis ila kuna fundi anasema hiyo oil ni maalum kwa magari yenye turbo haifai kwa gari yangu na akaniambia nikitaka kuthibitisha niangalie oil huwa inapungua jambo ambalo nimeona ni kweli.