Naomba ufafanuzi kuhusu castor oil

Naomba ufafanuzi kuhusu castor oil

chakka

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21
Reaction score
13
Wakuu kuna habari naomba ufafanuzi,huwa natumia castor oil kwenye gari yangu ndogo Toyota Isis ila kuna fundi anasema hiyo oil ni maalum kwa magari yenye turbo haifai kwa gari yangu na akaniambia nikitaka kuthibitisha niangalie oil huwa inapungua jambo ambalo nimeona ni kweli.
 
Kwani Ulienda kwa Fundi Maiko au Fundi Juma?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Castro oils sio kwa ajili ya kila aina ya engine, na sio kwa ajili ya engine za turbo tu, unachotakiwa ni kuangalia kama Castrol wenyewe wame recommend kwa matumizi ya engine ya gari yako, then tumia.

Kwa mfano toyota isis inayotumia engine ya 1az-fe kwenye tovuti hii hapa wamependekeza na maelezo kabisa kulingana na km iloyokwisha tembea

Kwa hiyo angalia engine gani unatumia, then check recommendation zao.

Kwa ujuzi wangu mdogo, Castrol wana oil bora sana kwa matumizi yetu wabongo...

Tumia na hautojutia.
 
Asante ngoja nifuatilie
 
Kaka rahisi sana, oil zipo kwa magari tofauti tofaut ww angalaia mtengenezaji kasema gari yako itumie oil namba ngapi??

Ukishaijua utatafuta ya kampuni yoyote unayoijua lakini namba ziwe zile zile

BTW Castrol wana Oil nzuri sana
 
Back
Top Bottom