Castro oils sio kwa ajili ya kila aina ya engine, na sio kwa ajili ya engine za turbo tu, unachotakiwa ni kuangalia kama Castrol wenyewe wame recommend kwa matumizi ya engine ya gari yako, then tumia.
Kwa mfano toyota isis inayotumia engine ya 1az-fe kwenye tovuti hii hapa wamependekeza na maelezo kabisa kulingana na km iloyokwisha tembea
Kwa hiyo angalia engine gani unatumia, then check recommendation zao.
Kwa ujuzi wangu mdogo, Castrol wana oil bora sana kwa matumizi yetu wabongo...
Tumia na hautojutia.