Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

Kama inawezekana, kaa mbali na CVT Transmission either nunua Standard/Manual au Automatic za kawaida.. CVT transmissions zinazingua kwa ujumla, zinavyozidi kuzeeka ndiyo matatizo huanza kujitokeza. Fanya utafiti wako mwenyewe utajionea.
Wewe unamshauri mwenzako akae mbali na CVT wakati Dunia ndio inaelekea huko?
 
Kwamba hio Rumion ina CVT?
Rumion ina CVT tu. Hakuna Rumion yenye gearbox ya aina nyingine.

Pia Rumion zimetengenezwa kuanzia 2007. Gari nyingi ambazo toyota ametengeneza kuanzia miaka hiyo amefunga CVT.
 
CVT ni gearbox nzuri sana kama mtu anajua matunzo. Iko smooth sana kwenye kubadili gear. Haina shift shift points kama zilivyo conventional Automatic transmission. Pia inachanganya haraka.

Ila hapo kwenye kuchanganya haraka baba lao ni gearbox moja inaitwa DSG (Direct Shift Gearbox). Hii gearbox mtumiaji mkubwa ni gari zinazotengenezwa na VW group (Volkswagen, Audi kwa gari zinazokuja huku kwhetu, ila pua kuna Skoda na Seat ambazo haziuzwi huku kwetu).

Ebwana hiyo gearbox ipo kama gearboc ya manual ila inakuwa na Clutch band mbili. Moja kwa ajili ya even gears na moja kwa ajili ya Odd gears na zinapokezana kufanya kazi. Pia nayo iko smooth kama CVT. Ila kwenye kuchanganya DSG ni kiboko.

Nimeshaiona imefungwa pia kwenge BMW 3 series Coup.
Hiyo Direct Shift Gearbox si ndiyo Dual Clutch Gearbox (DCG) hii inabalaa Sana ipo kwenye VW Golf na Skoda za miaka ya karibuni.
 
CVT ndiyo zinakuja kureplace Ordinary automatic gear box...

Ni kweli magari mengi ya cvt yamekuwa na changamoto kwa sababu ndiyo technolojia mpya, inaenda ikiboreshwa....Watengenzaji wa magari sasa hivi wqnajikita kwenye cvt kwa gari ndogo..

Walianza Nissan, sasa hivi Toyota, Subaru, Mitsubishi nyingi tu zina CVT....kikubwa kwenye CVT ni kugmfuata masharti....hakuja janja janja kwenye cvt..

Ninaendesha CVT kwa miaka 6na nusu sasa...
Kwamba hio Rumion ina CVT?
Yes....
Rumion inatumia CVT transmission
 
CVT ni gearbox nzuri sana kama mtu anajua matunzo. Iko smooth sana kwenye kubadili gear. Haina shift shift points kama zilivyo conventional Automatic transmission. Pia inachanganya haraka.

Ila hapo kwenye kuchanganya haraka baba lao ni gearbox moja inaitwa DSG (Direct Shift Gearbox). Hii gearbox mtumiaji mkubwa ni gari zinazotengenezwa na VW group (Volkswagen, Audi kwa gari zinazokuja huku kwhetu, ila pua kuna Skoda na Seat ambazo haziuzwi huku kwetu).

Ebwana hiyo gearbox ipo kama gearboc ya manual ila inakuwa na Clutch band mbili. Moja kwa ajili ya even gears na moja kwa ajili ya Odd gears na zinapokezana kufanya kazi. Pia nayo iko smooth kama CVT. Ila kwenye kuchanganya DSG ni kiboko.

Nimeshaiona imefungwa pia kwenge BMW 3 series Coup.
Duuu!!!
Technology inazidi kupaa siku Hadi siku Hadi siku ndiyo maana nchi kama America Kwa 83% wanatumia Magari ya automatic sasa Kwa style hii naona Magari ya manual transmission yataondoka sokoni moja Kwa moja.

Kwa mfano ambao umetoa hapo juu wa DSG TRANSMISSION naona ni ngumu tena Kwa manual transmission kurudi Kwenye soko
 
Yaani hiyo gearbox wanakuambia ni kama wameunganisha gearbox mbili za manual.

Moja inakuwa na gear za Odd 1, 3, 5,... Hii inaendeshwa na clutch moja.

Nyingine inakuwa na gear za Even 2, 4, 6,... Hii inaendeshwa na clutch nyingine.

Na sijaonaga DSG ambayo ina gear chini ya 6.

DSG zote zinaanzia gear 6, 7 mpaka 10.
 
Kwamba hio Rumion ina CVT?
Yes....
Toyota rumion inatumia CVT transmission
Yaani hiyo gearbox wanakuambia ni kama wameunganisha gearbox mbili za manual.

Moja inakuwa na gear za Odd 1, 3, 5,... Hii inaendeshwa na clutch moja.

Nyingine inakuwa na gear za Even 2, 4, 6,... Hii inaendeshwa na clutch nyingine.

Na sijaonaga DSG ambayo ina gear chini ya 6.

DSG zote zinaanzia gear 6, 7 mpaka 10.
Shukrani Mkuu Kwa haya madini maana hii ni zaidi ya elimu hasa Kwa Sisi enthusiastic wa Magari
 
Duuu!!!
Technology inazidi kupaa siku Hadi siku Hadi siku ndiyo maana nchi kama America Kwa 83% wanatumia Magari ya automatic sasa Kwa style hii naona Magari ya manual transmission yataondoka sokoni moja Kwa moja.

Kwa mfano ambao umetoa hapo juu wa DSG TRANSMISSION naona ni ngumu tena Kwa manual transmission kurudi Kwenye soko
Manual ni kwa enthusiast tu mkuu.
 
Upo sahihi kabisaaa...kuna watu huwaambii kitu juu ya manual transmission kwasabb ya Ile ladha ya kubadilisha gear unavyotaka, ndiyo maana serikalini Magari Yao asilimia kubwa ni manual
Kweli mkuu,yale magari ni ya kazi kazi hakuna kuremba.

Hio gearbox (Dsg) niliikuta garage kwny golf gti ikiwa imezingua,ni expensive sana kuinunua
 
DSG inakufa clutch tu au shida kwenye control yake ikiwa hiyo DSG ni wet. Dry huwa zinakufa clutch tu mara nyingi.

Vitu vingine vyote 8 ni kama gearbox ya manual. Siyo gearbox ngumu sana kuielewa. Na hata ikifunguliwa ndani inaeleweka na inafanana na manual ila tu inakuwa na shaft nyingi.
 
Safi sana kwa maelezo murua mkuu.
 
Wewe unamshauri mwenzako akae mbali na CVT wakati Dunia ndio inaelekea huko?
Dunia inaelekea Electric mkuu, hizi ni finali tu. Vilevile inavyosemekana kuwa CVT ndiyo future haimaanishi kuwa ni kwa gari zote, CVT itapatikana sana kwenye magari ya budget, PDK, Tiptronic, etc bado zitashamiri sana kwenye performance cars. CVT bado ni technology changa hivyo ni vyema kukaa nayo mbali maana bado kama ipo kwenye majaribio bila kusahau kiwa mafundi wengi hawazielewi hizo transmissions, ndiyo maaana ikiwa na tatizo kidogo tu, fundi atashauri ununue gearbox mpya kwa maaana hajui pa kuanzia. Mimi binafsi gari ya CVT ni never, DCT is the best Transmission ever iwe ni Porsche PDK, Audi S-Tronic, Tiptronic,.. Ni Transmissions zinazofurahisha sana, CVT inaboa mkuu, ila ni nzuri owa watu ambao umri umeenda sana, wakina mama, na woote wasiojali kuhusu performance figures za gari.
 
Back
Top Bottom