F Ford Member Joined Oct 21, 2011 Posts 9 Reaction score 2 Aug 7, 2016 #1 Hivi kwa mfano mheshimiwa Tundu Lisu alivyotoa dhamana ya shilingi milioni kumi. Hiyo pesa ndo ishapotea au inakuwaje.??? Msaaada please
Hivi kwa mfano mheshimiwa Tundu Lisu alivyotoa dhamana ya shilingi milioni kumi. Hiyo pesa ndo ishapotea au inakuwaje.??? Msaaada please
Hamza36 Member Joined Aug 7, 2015 Posts 44 Reaction score 59 Aug 24, 2016 #2 Mtuhumiwa wa kesi akihudhuria ipasavyo mwisho wa kesi dhamana hurudishwa