Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Jul 2, 2013 #1 Heshima mbele wakuu.Naomba mwenye uelewa kuhusu mtu kuwa eligible kwenye kozi fulani anisaidie na vitu ambavyo eligibility inategemea.Nina pointi 7,nipo eligible muhas lakini sipo eligible udom kwa kozi ile ile ilihali udom wanataka pointi 5.
Heshima mbele wakuu.Naomba mwenye uelewa kuhusu mtu kuwa eligible kwenye kozi fulani anisaidie na vitu ambavyo eligibility inategemea.Nina pointi 7,nipo eligible muhas lakini sipo eligible udom kwa kozi ile ile ilihali udom wanataka pointi 5.
Kimetah JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 1,049 Reaction score 189 Jul 2, 2013 #2 du Mambo ya TCU sio utaambiwa system erro
M MAKAH JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 1,582 Reaction score 267 Jul 2, 2013 #3 ni kweli kuna huo utata - lakini ni kozi gani hiyo. nimeshuhudia za medicine - YES MUHAS lakini St francis Ifakara NO kwa vigezo vilevile!!!
ni kweli kuna huo utata - lakini ni kozi gani hiyo. nimeshuhudia za medicine - YES MUHAS lakini St francis Ifakara NO kwa vigezo vilevile!!!
luofe JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 330 Reaction score 143 Jul 3, 2013 #4 jamani tuambiane maana yamenikuta hayo! nibadilishe au?