Heshima mbele wakuu.Naomba mwenye uelewa kuhusu mtu kuwa eligible kwenye kozi fulani anisaidie na vitu ambavyo eligibility inategemea.Nina pointi 7,nipo eligible muhas lakini sipo eligible udom kwa kozi ile ile ilihali udom wanataka pointi 5.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.