Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

Hizo brake pad za Toyota za 270,000 ni duka la Toyota au maduka ya mtaani tu?
 
Wanasahau mafuta ndo chakula chake Sasa sijui wanataka gari ile chipsi au mi ndo sielewi. Kama sio mtu wa magari achana na magari maana Kuna maswali ambayo hayana msingi na yanajirudia rudia kwenye Kila uzi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 2400 nayo ya kulia kama inakula wese.. hiyo umeme mwingi sana.. inanusa tu.. achukue tu.. haili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…