Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

Wewe!!! Wewe! Wewe!
Nimekuita mara tatu[emoji3]
Si ndio kama hii au huependi watu wakujue 😀😀
images (1).jpeg
 
Hiyo gari ninayo hivyo naweza kuisemea kdg. Kwa upande wa spea zinapatikana ila ni kwa bei kubwa kdg kulinganosha na toyota zingine za chini kama spacio au raum. Mfano break pad za mbele original toyota ni 270k, fake yake 120k ya kawaida mpaka elfu 60 unapata. Kuhusu ulaji wa mafuta kwa uzoefu wangu ni vyema ukawa na gari nyingine ya mizunguko. Ukitaka kufanya mizunguko na harrier basi jiandae linabugia sana mafuta. Kwa safari ni mazuri na very comfortable ila kwa mizunguko sio rafiki. Ni gari nzuri ya kutokea mara moja moja na safari sio ya kupuyanga mjini.....
Hizo brake pad za Toyota za 270,000 ni duka la Toyota au maduka ya mtaani tu?
 
Wanasahau mafuta ndo chakula chake Sasa sijui wanataka gari ile chipsi au mi ndo sielewi. Kama sio mtu wa magari achana na magari maana Kuna maswali ambayo hayana msingi na yanajirudia rudia kwenye Kila uzi
😀😀😀😀 2400 nayo ya kulia kama inakula wese.. hiyo umeme mwingi sana.. inanusa tu.. achukue tu.. haili kabisa
 
Back
Top Bottom