Baada ya mwaka utabaki na BIGHORN peke yake hutaiona tena Isuzu, nadhani umenielewa.Habari wana jf wote.
Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake...
Nimekuelewa mjomba.Kaka hata kwa laki tano usinunue isuzu bighorn. Elewa nilichoandika
Hamisha kambi,hakuna kitu mleNgoja niweke kambi hapa maana limemfia anko lakini ataki kuliuza yaan
Ngoja nisubiri wadau
usije kusema hujaambiwa muulize joshua_okBaada ya mwaka utabaki na BIGHORN peke yake hutaiona tena Isuzu, nadhani umenielewa.
Halitaki shida
Habari wana jf wote,
Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake.
2. Matatizo yake/magonjwa yanayosumbu
a mara kwa mara.
3. Ulaji wa mafuta na ni cc ngapi.
4. Upatikanaji wa spare zake.
Naomba kuwasilisha.
usije kusema hujaambiwa muulize joshua_ok
Nakazia hapaHalitaki shida
Halitakj safari ndefu
Ni nyanya sana
Lina consuption mbaya ya mafuta
Halitulii barabarani
Sio gari imara kabisa..nakushauri achana nalo
Kuuumbeee
Kuna 1gen & 2 gen.. Chukua 2 gen 3. 1tdi manual transmission alafu njoo unishukuru baadae achana na 2gen 3. 0 tdi hizi sio nzuri injector seals na sensor kasha wa kadha ni kichefuchefu
Habari wana jf wote,
Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake.
2. Matatizo yake/magonjwa yanayosumbu
a mara kwa mara.
3. Ulaji wa mafuta na ni cc ngapi.
4. Upatikanaji wa spare zake.
Naomba kuwasilisha.
Acheni woga. Uzuri wa BIGHORN kwanza ni Diesel pia Lina nguvu kwa Safari za milimani utafurahi.Joshua uko wapi tupe elimu.
Uwe na tech2... Mbona rahaAcheni woga. Uzuri wa BIGHORN kwanza ni Diesel pia Lina nguvu kwa Safari za milimani utafurahi.