Naomba ufafanuzi kuhusu Gari aina ya Isuzu Bighoun

Naomba ufafanuzi kuhusu Gari aina ya Isuzu Bighoun

kivara

New Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
3
Reaction score
11
1597494781748.png

Habari wana jf wote,

Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake.
2. Matatizo yake/magonjwa yanayosumbu
a mara kwa mara.
3. Ulaji wa mafuta na ni cc ngapi.
4. Upatikanaji wa spare zake.

Naomba kuwasilisha.
 
Halitaki shida
Halitakj safari ndefu
Ni nyanya sana
Lina consuption mbaya ya mafuta
Halitulii barabarani
Sio gari imara kabisa..nakushauri achana nalo
 
Shemeji yangu analo tangu mwaka 2010 na bado liko vizuri, siwezi lizungumzia sana kwakuwa halipigishi root ndefu, linatumika sana kwa movement za Dar na kwenye ulaji wa mafuta kwa mujibu wake anasema linakula kawaida
 
Habari wana jf wote,

Leo naomba kuuliza waliowahi kumiliki au kutengeneza gari aina ya Isuzu bighoun kujua yafuatayo:-
1. Uimara wake.
2. Matatizo yake/magonjwa yanayosumbu
a mara kwa mara.
3. Ulaji wa mafuta na ni cc ngapi.
4. Upatikanaji wa spare zake.

Naomba kuwasilisha.
Kuna 1gen & 2 gen.. Chukua 2 gen 3. 1tdi manual transmission alafu njoo unishukuru baadae achana na 2gen 3. 0 tdi hizi sio nzuri injector seals na sensor kasha wa kadha ni kichefuchefu
 
Back
Top Bottom