LITA2019
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 485
- 1,041
2006Ya mwaka gani .?
Tuanzie hapo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2006Ya mwaka gani .?
Tuanzie hapo...
Chief, mbona husemi kwanini hupendi gari yenye turbo? Tatizo la turbocharged engine ni nini?Nyingi ambazo nawakuta nazo watu naziona turbo. Na ndio sababu ya kuto zipenda.. ila sizipendi tu 🤨🤨
X class kuna mwamba mmoja anayo tena yupo dodoma na ina zaidi ya mwaka!Hizo ni unique Sana mkuu, Mimi niliona moja imetoka kwenye maji inasubiri kwenda Congo.
Kama mashirika, ubalozi na serikali wameziogopa Bei yake basi zitakuwa adimu hata miaka 10 ijayo.
XT ni turbo charged, ST ndiyo natural aspirated! Naweza pia kurekebishwa!Ok sawa upo sahihi kabisa Mkuu naziona hata hizi foresta xt 2.5 nyingi hazina turbo wanaambiwa zenye turbo zinakula sana mafuta sihazifanyia tatifi ya kutosha kuhusu hilo ...
chukua tu Subaru ForesterJamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta).
Sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii.
View attachment 1739405
Subaru Legacy
Nilichobaini watu wengi hatuyajui hays Magari sema tunajadili. Ni kweli consumption ya subaru legacy kwenye dashboard huwa inasoma kuanzia 5.5 hadi 13 au zaidi. Lakn hiz Namba hazina maana kuwa ikisoma 5.5 ndo Inatembea lita Moja kwa kilometres 5. Hiz gar consumption yako imewekewa kwa 100km. Kwahyo gari yako ikiwa inasoma 6.5 huwa ni kwa 100km yaan maana yake ni 6.5/100km ikiwa na maana kuwa kupata unatembea km ngap kwa lita unachkua 100km/6.5. Mim nina subaru legacy ya 2013 nikiweka full tank inaniambia nitatembea km 748 na nikiwa high way km zinaongezeka, consumption yake inaenda 5.8 na mjini ndo inaenda hadi 12 ikiwa na maana kuwa natumia lita Moja kwa kilometer 8.3Kuna jamaa yangu analo naonaga linasomaga 6-7 km/l likichanganya speed linafika 8km/l.
Difference lazma ui feel mwamba yani toka 16km/L mpaka 8Km/L safari za sheli za hapa na pale lazima.
Hongera sana mtu wangu, kwahio ile prado iliokuwa inasoma 16km/l maana yake inatembea kwa 6.6km/l kwa mujibu wako? 🤣Nilichobaini watu wengi hatuyajui hays Magari sema tunajadili. Ni kweli consumption ya subaru legacy kwenye dashboard huwa inasoma kuanzia 5.5 hadi 13 au zaidi. Lakn hiz Namba hazina maana kuwa ikisoma 5.5 ndo Inatembea lita Moja kwa kilometres 5. Hiz gar consumption yako imewekewa kwa 100km. Kwahyo gari yako ikiwa inasoma 6.5 huwa ni kwa 100km yaan maana yake ni 6.5/100km ikiwa na maana kuwa kupata unatembea km ngap kwa lita unachkua 100km/6.5. Mim nina subaru legacy ya 2013 nikiweka full tank inaniambia nitatembea km 748 na nikiwa high way km zinaongezeka, consumption yake inaenda 5.8 na mjini ndo inaenda hadi 12 ikiwa na maana kuwa natumia lita Moja kwa kilometer 8.3
Na uzuri wa hizi gar zina gauge ya utumizi wa Mafuta unapoendesha inakuonyesha kabisa sasa hiv matumizi yako low au uko juu au uko average.
Kuhusu uimara hiz gar ni imaraga sana toka ninunue kitu kikubwa ambacho niliwah kubadili tena ni kwa sabab ya fund aliniingiza cha kike ni sterling lack ambayo nilinunua laki sita na nusu. Fund alikuwa anabdilisha shock up akaongona had sterling racks.
Kuhusu kukimbia ni gar inayo kimbia sana maana yangu inaspeed 240, natural Aspirated engine (engine kavu), CC 1900, na ina uzito wa tani 2.5. May be kwa kuwa yangu nilinunua za soko la Europe ndo maana inaonekana ina unafuu sjuh ila sjuh wengne wanazozimiliki. Shida kubwa tu nayoiona iko chini kwa mbele kiasi kwamba kila napo mwazima mtu lazma bumper ya mbele ipate dosar kidogo.
Kuhusu service ni sawa na gari nyingne tu oil natumia castrol 5W300 laki Moja au lak na kumi na natembea km 10,000. Kikubwa kwenye service haitaki janja janja
Soma tena maelezo yake kwa umakini kidogo...magari mengi kwenye fuel consumption yako rated kwa 100km...Hongera sana mtu wangu, kwahio ile prado iliokuwa inasoma 16km/l maana yake inatembea kwa 6.6km/l kwa mujibu wako? [emoji1787]