Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 82
Kwa NHIF huwezi.Bima ya Afya haina kikomo kwa ugonjwa na Huduma tofauti kwa siku moja.
Na hizo siku saba nani alikwambia?
Kama ulitibiwa malaria kituo x kwa siku hiyo hiyo unaweza tibiwa UTI kwa kituo y...
Ndo nilichozungumzia Hapo juu sema wwe umekifafanua zaidi Ndugu Lukonge..Kwa NHIF huwezi.
1: Unaweza kufanya rufaa kwa specialities ndani au nje ya kituo.
2: Ukienda kituo cha pili bila rufaa kwa siku hiyohiyo imatakiwa iwe ni kwa emergency case na si cold case/ugonjwa wa kawaida.
Mfumo utaonyesha umetibiwa sehemu nyingine option ni ku-activate emergency na iwe emergency kweli. La sivyo, utashuhudia maumivu baadaye kwenye malipo.
Ndo nilichozungumzia Hapo juu sema wwe umekifafanua zaidi Ndugu Lukonge..
Kwa sababu yeye alitaja siku saba...
Binafsi nikushukuru zaidi...
Kwa kuongezea Tu ni kwamba vituo vingi tunatumia emegency case katika kupokea Mgonjwa alioKuja baada ya kutibiwa Katika vituo vingine na hakukuwa na rufaa ya matibabu (Japo ikiwa tu Dawa na Magonjwa tunayotibu hayafanani)
Nakubaliana na wewe kwamba mfumo wa NHIF kwa Tangu mwaka 2019 na kuendelea ukitibiwa hapo hapo unaonyesha kuwa umetibiwa sehemu fulani...
Hakuna maumivu yoyote kwenye malipo Yaliyowahi kutukuta Kwakuwa tunazingatia STG , No polypharmacy na Hakuna kumpa mgonjwa Dawa alizokwisha pata kituo kingine na hakuna kutibu ugonjwa uliokwisha kutibiwa unless its Complication ya ugonjwa huo...
Na ndo nilichoandika..Angalia maelezo yako, kuna concepts mbili:
1: kusubiri siku saba: si kweli
2: kutibiwa siku hiyohiyo vituo viwili tofauti: inawezekana , lakini kwa kutekeleza vigezo vifuatavyo:
A: kwa kupata rufaa
B: Emergency case
C: ugonjwa wa kawaida kama mafua haiwezekani.
Daktari mafua ya siku hizi watu wanalazwa, ingawa kwa hapa tunaongelea ya kawaida. Hayo mengine atakuja na viambata.Na ndo nilichoandika..
Ngoja kwanza
🤣🤣 Kwani mafua bado wanaenda hospitalini mara mbili kama ni mafua haiwezekani Maybe iwe complicated case ya flue 🤣🤣
kama yakiwa Ni complicated hutakiwi kumuacha hata kama bima ikukate folio zima la matibabu cuz Umeokoa Uhai wake..Daktari mafua ya siku hizi watu wanalazwa, ingawa kwa hapa tunaongelea ya kawaida. Hayo mengine atakuja na viambata.
Kweli suala kubwa ni kujenga hoja yake ya kwa nini asiachwe. Kwa wema na kutimiza wajibu kadri ya miongozo na sheria.kama yakiwa Ni complicated hutakiwi kumuacha hata kama bima ikukate folio zima la matibabu cuz Umeokoa Uhai wake..
Na Umejikita katika Misingi ya Kitabibu kwahyo Utakuwa umelinda hadhi yako na Heshima yako kama Daktari japo utapunguza Hadhi na heshima kama mkusanya mapato..
Ila negligence is an offense Chief
Unaweza itumia hata mara 5 kwa siku
Hawaruhusiwi hio wamepiga marufuku kuchezea bima ya Afya unajipimapima ovyo ovyo wametia lock, hasaraKama ulitibiwa malaria kituo x kwa siku hiyo hiyo unaweza tibiwa UTI kwa kituo y...
Hauruhusiwi kujipimapima ovyo ovyo maana waligundua watu wakianza kutumia wanajipimapima ovyo ovyo tu kisa wana bima,Sio kweli.
Bima inatakiwa itumike mara moja ndani ya siku 1 kwenye hosp 1. Ikitokea unahaka hosp siku hiyo hiyo wanatakiwa wakupe namba ya rufaa ili iweze kufanya kazi hosp. Ya pili kwa siku hiyo hiyo
Hauruhusiwi kujipimapima ovyo ovyo maana waligundua watu wakianza kutumia wanajipimapima ovyo ovyo tu kisa wana bima,