Kama upo vizuri chukua hyo mashine utakuja kunishukuru baadae, bei yake imechangamka sana.
Hyo piki piki ukiinunua na ukawa unazingatia service unaweza usionane na fundi kwa miaka zaid ya mitano kwa matengenezo makubwa.
Pia spea zipo za kumwaga japo bei yake imechangamka.
Pungufu nililoliona ni kuwa...huwa wanazibana speed zinaishia 100 tu, mpaka upeleke kwa wajuzi wake ndo wanarekebisha ili ifike 160km/h. Hizo pikipiki boxer ni mchumba tu.
Nb: Ukinunua hyo pikipiki huwa zin mafundi wao, na sio kila pikipiki anaweza kuitengeneza, utaichukia bure. Zingatia hilo.
Boxer mchumba tu eti ?Kama upo vizuri chukua hyo mashine utakuja kunishukuru baadae, bei yake imechangamka sana.
Hyo piki piki ukiinunua na ukawa unazingatia service unaweza usionane na fundi kwa miaka zaid ya mitano kwa matengenezo makubwa.
Pia spea zipo za kumwaga japo bei yake imechangamka.
Pungufu nililoliona ni kuwa...huwa wanazibana speed zinaishia 100 tu, mpaka upeleke kwa wajuzi wake ndo wanarekebisha ili ifike 160km/h. Hizo pikipiki boxer ni mchumba tu.
Nb: Ukinunua hyo pikipiki huwa zin mafundi wao, na sio kila pikipiki anaweza kuitengeneza, utaichukia bure. Zingatia hilo.
Huamini au unshangaa....ukweli ndo huo kama hujui, Pia ni piki inayouzwa ghali, inaanzia 5ml kwenda juuBoxer mchumba tu eti ?
IPO hv, Ile sahan yake imeandikwa 160km/h. Ila wanakuwa wameinna spidi inaishia 100km/h, ili imalize 160km/h kina wataalamu wanatoa hyo speed limitEeh bwana eeh...toka 100kph up-160kph
Hao modify ni hawa-hawa wabongo ama
Kwa performance hapana. Chukua Click upige bodaboda uoneHuamini au unshangaa....ukweli ndo huo kama hujui, Pia ni piki inayouzwa ghali, inaanzia 5ml kwenda juu
Ile sio piki piki ya mkuu, ni laxury sana huwezi kupigia boda boda utakuwa unaionea. Ina performance nzur sana mkuu.Kwa performance hapana. Chukua Click upige bodaboda uone