Naomba ufafanuzi kuhusu Honda click

Naomba ufafanuzi kuhusu Honda click

sojobizzy

Senior Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
130
Reaction score
153
Wakuu habar zenu

Niende kwenye topic moja kwa moja me n kijana naenza maisha sina elimu sana na vyombo vya usafir ila kuna hz pik pik aina ya honda click nataman kununua kwa ajil ya trip town na mambo mengine.

Nimetokea kuzielewa na nazipenda najua kuna wadau weng humu ndan wanazo au walishatumia wakahamia kwenye aina nyingine ya usafiri.

Nilikuwa nataman kujua kwa wadau waliomo humu ndan ambao wana uzoefu nazo n zipi faida au ubora wa hizi piki piki na changamoto zake au udhaifu wake.

Asanten[emoji120]
 
Kama upo vizuri chukua hyo mashine utakuja kunishukuru baadae, bei yake imechangamka sana.

Hyo piki piki ukiinunua na ukawa unazingatia service unaweza usionane na fundi kwa miaka zaid ya mitano kwa matengenezo makubwa.

Pia spea zipo za kumwaga japo bei yake imechangamka.

Pungufu nililoliona ni kuwa...huwa wanazibana speed zinaishia 100 tu, mpaka upeleke kwa wajuzi wake ndo wanarekebisha ili ifike 160km/h. Hizo pikipiki boxer ni mchumba tu.

Nb: Ukinunua hyo pikipiki huwa zin mafundi wao, na sio kila pikipiki anaweza kuitengeneza, utaichukia bure. Zingatia hilo.
 
Eeh bwana eeh...toka 100kph up-160kph
Hao modify ni hawa-hawa wabongo ama
 
shukran mkuu kwa ufafanuz wako[emoji106]
 
Boxer mchumba tu eti ?
 
Eeh bwana eeh...toka 100kph up-160kph
Hao modify ni hawa-hawa wabongo ama
IPO hv, Ile sahan yake imeandikwa 160km/h. Ila wanakuwa wameinna spidi inaishia 100km/h, ili imalize 160km/h kina wataalamu wanatoa hyo speed limit
 
Kwa performance hapana. Chukua Click upige bodaboda uone
Ile sio piki piki ya mkuu, ni laxury sana huwezi kupigia boda boda utakuwa unaionea. Ina performance nzur sana mkuu.

Pikipiki yenyewe ina shock up moja huwezi bebea mizigo, Ila ni pikpk nzuri sana na ina vitu ambavyo boxer haina. Kuna 110 cc yenye speed 140km/h, 125cc speed 160km/h n.k.
 
Cijui vzr ila chukua Tvs 150, ni multpapaz
 
Back
Top Bottom