Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya.

Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25!

Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)?

Nawasilisha!

IMG_8288.jpg
 
Mimi mwenyewe nina hamu ya kuufahamu huu mkeka wa mbao.

Japo kwa ufahamu wangu wa kutizama naelewa ni ile mikeka ya plastic ya uswahilini ambao wanapima kwa mita, na imekuwa maarufu kwa nchi kama Kenya kwa sababu ya kuzuia baridi kwenye miguu.
 
Wadau naomba kujua uimara wa huu mkeka ukilinganisha na tiles. Je, haubanduki au kuchanika? Na unaweza kudumu miaka mingapi?
 
Wadau naomba kujua uimara wa huu mkeka ukilinganisha na tiles, je haubanduki au kuchanika? Na unaweza kudumu miaka mingapi ?
Kuhusu uimara tiles ni imara sana ukiringanisha na hizo floor boards, faida kubwa ya floor boards ni muonekano (zina muonekano mzuri sana) ila zikiwekwa vizuri na zikatumika vizuri, zinadumu muda mrefu sana zikichafuka/kuchubuka ni rahisi kusafisha na kupaka vanish zinarudi kwenye muonekano wake wa awali
 
Ngoja waje. Mi nataka kujua gharama zake.
 
Note: Kama unaishi sehemu ya joto go for tiles Ila Kam nisehem ya baridi I recommend floor board
 
Wakuu niko nafanya finishing ya nyumba lkn nina mawazo mawili hapa kipi niweke sitting room kati ya tiles au mkeka wa mbao.

Naomba anayejua ubora na utofauti wa bidhaa hizi kuanzia gharama na ubora anisaidie.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu niko nafanya finishing ya nyumba lkn nina mawazo mawili hapa kipi niweke sitting room kati ya tiles au mkeka wa mbao.

Naomba anayejua ubora na utofauti wa bidhaa hizi kuanzia gharama na ubora anisaidie.

Natanguliza shukrani
Weka Tiles zenye muonekano wa mbao.

Hizo tiles Muonekano wake ni kama huo mkeka wa mbao ila zenyewe ni Tiles halisi
 
Back
Top Bottom