Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

Bei inategemea quality lakini range iko kwenye 35,000 kwa square meter
Kwa bei hiyo kwa mtanzania mwenye kipato cha kawaida si bora kuweka tiles za kawaida ambapo kwa TZS 40,000/= atapata box zima lenye tiles za ķufunika eneo lenye ukubwa wa 1.7 m².
 
Mimi mwenyewe nina hamu ya kuufahamu huu mkeka wa mbao.

Japo kwa ufahamu wangu wa kutizama naelewa ni ile mikeka ya plastic ya uswahilini ambao wanapima kwa mita, na imekuwa maarufu kwa nchi kama Kenya kwa sababu ya kuzuia baridi kwenye miguu.
Kama wewe unataka kujua kuhusu timberfloor kwanza jua mbao zinazotumika kutengeneza hiyo floor ni mbao za hardwood miti maalum kwa ajili ya kujenga floor, sio kila mti miti mizuri kabisa ni; mbanga,mzima, mtiki,kandanda, mkurungu, mvule, mkola, mninga na miti mingine yapori
 
Mkuu kwanini usiweke tiles aina za mbao ziko imara haswa za Twyford [emoji116]
Nichek kama ukiitaji size zote..
Kuna 60*60, 50*50, 40*40..
Nichek kama ukiitaji 0623152344



View attachment 2390949View attachment 2390950View attachment 2390951
IMG_20221018_125200~3.jpg
 
Back
Top Bottom