resonanceiduufu
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 112
- 62
Kuhusu uimara tiles ni imara sana ukiringanisha na hizo floor boards, faida kubwa ya floor boards ni muonekano (zina muonekano mzuri sana) ila zikiwekwa vizuri na zikatumika vizuri, zinadumu muda mrefu sana zikichafuka/kuchubuka ni rahisi kusafisha na kupaka vanish zinarudi kwenye muonekano wake wa awaliWadau naomba kujua uimara wa huu mkeka ukilinganisha na tiles, je haubanduki au kuchanika? Na unaweza kudumu miaka mingapi ?
nakaziaPicha zimekua adimu kwenye Uzi siku hz
Tupe Bei!Hizi ni tiles za kawaida hata kwangu ninazo
Ninazo I mean nimeziweka hme sio kwamba nauzaTupe Bei!
Sawa Mkuu. Ulinunua bei gani, ulizinunua mkoa gani na ilikuwa mwaka gani? Karibu kwa majibu.Ninazo I mean nimeziweka hme sio kwamba nauza
Nilinunua mwaka juzi Spanish Tiles pale Victoria Dar sikumbuki vizuri but nadhani kibox kimoja nilinunua elfu arobaini na sitaSawa Mkuu. Ulinunua bei gani, ulizinunua mkoa gani na ilikuwa mwaka gani? Karibu kwa majibu.
Shukrani sana Mkuu Kwa majibu.Nilinunua mwaka juzi Spanish Tiles pale Victoria Dar sikumbuki vizuri but nadhani kibox kimoja nilinunua elfu arobaini na sita
Bei inategemea quality lakini range iko kwenye 35,000 kwa square meterTupe Bei!
Weka Tiles zenye muonekano wa mbao.Wakuu niko nafanya finishing ya nyumba lkn nina mawazo mawili hapa kipi niweke sitting room kati ya tiles au mkeka wa mbao.
Naomba anayejua ubora na utofauti wa bidhaa hizi kuanzia gharama na ubora anisaidie.
Natanguliza shukrani