Naomba ufafanuzi kuhusu kusajili jina la biashara

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
4,159
Reaction score
2,844
habari za majukumu!

Mimi ni fundi ujenzi wa nyumba. Kwa sasa nataka niboreshe huduma yangu Kwa kufungua ofisi nzuri ambapo Itakuwa rahisi kukutana na wateja wangu.

Kwakuwa kufungua kampuni ya ujenzi inahitaji mtaji mkubwa na mm kwa sasa sina huo uwezo, nimejiwa na wazo la kusajili business name.

Je, sheria zetu zinaruhusu kufanya hilo jambo?

Naomba kujua ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…