Naomba ufafanuzi kuhusu Law enforcement (bachelor)

Ni degree ya usimamizi wa sheria. Huko ndani utasoma sheria zinazohusiana na uhalifu (criminal law, criminology na sociology kwa mbali) kuna mambo ya haki za binadamu, upelelezi wa makosa ya jinai na sheria za msingi tu ambazo mwanasheria yeyote lazima asome pamoja na sheria za kimataifa.

Kama sijakujibu unaweza kuendelea kuuliza.
 
Shukran[emoji120] nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
 
Na field za Kazi ni maeneo gan labda?
 
Shukran[emoji120] nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
LLb ni Laws kwa ujumla, mfano tuu kwenye Law infocement huwezi Soma Law of contract ama land laws, kule Sana Sana ni Criminal laws na kigezo Cha kujoin law school ni LLb sio Law infocement
 
Shukran[emoji120] nlitaka tu kufaham inautofauti gan na LLb?
Tofauti yake na LLb ni kuwa law enforcement ni criminal centred yaani inajihusisha na sheria za uhalifu na usimamizi wake tu ingawa pia inagusa discipline nyingine lakini LLb ni sheria zote
 
Field za kazi ni mahali popote panapohitaji usimamizi wa sheria, mainly kwenye majeshi yote lakini ishu ya ajira ni pana unaweza pata popote penye uhitaji sia ajabu ukafanya kazi tbs, benki n.k
BA.LE is a multidisciplinary program that can make one fit on any law enforcement agencies, such as TRA, EWURA, TFDA, TCRA, etc

Umejibu vema mkuu, big up!!!!!
 
Back
Top Bottom