A
Anonymous
Guest
Naomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB). Niliwasilisha maombi yangu na yakapokelewa. Tarehe 3 Septemba 2026 nilipoingia kwenye akaunti yangu, nilikuta ujumbe ukionyesha kuwa maombi yangu yamechakatwa na kupokelewa.
Hata hivyo, jana, tarehe 11 Septemba 2026, nilipojaribu kuingia tena kwenye akaunti yangu, nimekuta akaunti haipo na ninaelekezwa kuanza upya mchakato wa kuomba mkopo.
Naomba kufahamu tatizo limejitokeza wapi na nifanye nini ili kurejesha maombi yangu yaliyokuwa tayari yamepokelewa.