A
Pole Sana kiongozi kunashida ya kimtandao tokea juzi ila swala lishawasirishwa na linashughulikiwa itakuwa sawa kuwa na Amani kabisaNaomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB). Niliwasilisha maombi yangu na yakapokelewa. Tarehe 3 Septemba 2026 nilipoingia kwenye akaunti yangu, nilikuta ujumbe ukionyesha kuwa maombi yangu yamechakatwa na kupokelewa.
Hata hivyo, jana, tarehe 11 Septemba 2026, nilipojaribu kuingia tena kwenye akaunti yangu, nimekuta akaunti haipo na ninaelekezwa kuanza upya mchakato wa kuomba mkopo.
Naomba kufahamu tatizo limejitokeza wapi na nifanye nini ili kurejesha maombi yangu yaliyokuwa tayari yamepokelewa.
Deadline jumatatu kwa huu usumbufu wa mtandao mtaongeza muda?Pole Sana kiongozi kunashida ya kimtandao tokea juzi ila swala lishawasirishwa na linashughulikiwa itakuwa sawa kuwa na Amani kabisa
Huu ni mfumo, ukikaa vizuri utaonaNaomba ufafanuzi kuhusu maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu (HESLB). Niliwasilisha maombi yangu na yakapokelewa. Tarehe 3 Septemba 2026 nilipoingia kwenye akaunti yangu, nilikuta ujumbe ukionyesha kuwa maombi yangu yamechakatwa na kupokelewa.
Hata hivyo, jana, tarehe 11 Septemba 2026, nilipojaribu kuingia tena kwenye akaunti yangu, nimekuta akaunti haipo na ninaelekezwa kuanza upya mchakato wa kuomba mkopo.
Naomba kufahamu tatizo limejitokeza wapi na nifanye nini ili kurejesha maombi yangu yaliyokuwa tayari yamepokelewa.
View attachment 3668817
So mtu atoke bukoba aende dar kuulizia?Sio kila kitu mnaandika mitandaoni, mambo mengine mnaenda ofisini moja kwa moja mnapewa jibu la uhakika.
Ofisi za HESLB zipo Mwanza kwa kanda ya Ziwa. Atume mtu amsaidie kama hawezi kufika.So mtu atoke bukoba aende dar kuulizia?