Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

DISLIKER

Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
43
Reaction score
39
Habarini Wana jukwaa.

Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
 
Hii kitu nadhani ilisharipotiwa kufanyika Aga khan humu kama sikosei
20220129_141311.jpg
 
Kama lengo ni kuponya suala la usikivu naona uache tu mkuu wangu
 
Mkuu pole,Mimi in mhanga pia wa tatizo hilo na nimezunguka hospital nyingi tangu nikiwa na miaka 20 nikiwa form four mpaka Leo Nina miaka 35 ila cjafanikiwa kutatua changamoto na kwasasa nimechukulia kama hali ya kwaida tu
 
Back
Top Bottom