Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika?

Natanguliza Shukrani
Ahsante

#IjumaaKareem
 
Tangazo la kazi ya Sensa linasema, zoezi la sensa litafanyika tarehe 23 August. Hawajasema siku nyingine tofauti na hiyo. Bila shaka litafanyika siku moja ingawa huko nyuma ilifanyika kwa zaidi ya siku moja.

Subiri Muongozo kamili
 
Back
Top Bottom