DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 6, 2022 #1 Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 May 6, 2022 #2 Tangazo la kazi ya Sensa linasema, zoezi la sensa litafanyika tarehe 23 August. Hawajasema siku nyingine tofauti na hiyo. Bila shaka litafanyika siku moja ingawa huko nyuma ilifanyika kwa zaidi ya siku moja. Subiri Muongozo kamili
Tangazo la kazi ya Sensa linasema, zoezi la sensa litafanyika tarehe 23 August. Hawajasema siku nyingine tofauti na hiyo. Bila shaka litafanyika siku moja ingawa huko nyuma ilifanyika kwa zaidi ya siku moja. Subiri Muongozo kamili