Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 61
- 79
Psrs hauwezii kuajiriwa bila kufanya interview hata kama wanahitajii watu 100 halafu ukaomba peke yako lazima uitwe kwenye interview na usipofaulu haupatii kazi tangazo linarudiwa kutangazwa upyaHabarini,
Nimeomba ajira PSRS hivi karibuni, tangazo halikuwa na kipengele Cha any selected or short listed member will be informed for interview.
Swali je atakaechaguliwa ataajiriwa moja kwa moja?
Nawasilisha